MACHI 21,2018 bara la Afrika liliandika historia mpya kufuatia viongozi 44 wa nchi za Afrika waliohudhuria Kikao Kisicho cha kawaida cha viongozi wa Afrika (Extraordinary Summit) kusaini mkataba utakaoruhusu kufanyika kwa biashara huru barani humu (Intra-African Free Trade). Kusainiwa huku …
Sector Yenye Matumaini Sekta ya Uvuvi ni miongoni mwa sekta muhimu za uchumi nchini inayochangia katika Pato la Taifa na kuondoa umaskini. Sekta hii inajumuisha shughuli zote za uvuvi wa asili na ukuzaji wa viumbe maji kwa kutumia mbinu mbalimbali …
African youths account for 60% of the continent’s population and it is estimated that, by 2050, Africa’s youth population will account for a quarter of the World population. The African Development Bank (AfDB) estimates that there will be 850 million …
Mkurugenzi wa taasisi ya Liberty Sparks , ndugu Evans Exaud alikutana na kuongoza kikao cha kikosi kazi kilichofanyika mtandaoni Julai 21 2022. Kikao kiliwakutanisha washiriki wa kikosi kazi ambao pia ni wakurugenzi wa sera na wakurugenzi watendaji katika taasisi mbalimbali …
Katika kuendeleza jitahada za kuchangia kuleta jamii huru na yenye mafanikio na kuhakikisha umaskini unapungua kwa Kasi, Liberty Sparks kupitia mradi wa cross border trade, chini ya kampeni ja ujirani mwema, imefanikiwa kuendelea kutoa elimu na kufanya tafiti nchini Tanzania. …
Na Amani Mjege Mnamo tarehe 24 january 2022 Benki ya CRDB ilitangaza punguzo kubwa la riba katika mikopo kwa kundi la wakulima, pamoja na wafanyakazi. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alisema punguzo hilo la riba linakuja kufuatia …
Kenya and Tanzania are restoring the once-decayed faith in free trade by demonstrating that economic collaboration has a win-win outcome. Effective trade facilitation between states can easily translate into considerable economic gains, as corroborated by the import-export statistics of these …
Oktoba 7 mwaka 2021 jijini Dar es saalam, Bank ya NMB ilizindua mpango wake wa kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa wateja wake wa sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi. Ambapo kiasi cha pesa za Kitanzania bilioni 100 zimetengwa kwa …
Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuondoa vikwazo 12 vya biashara visivyo vya kikodi vilivyokuwa vinatumika kwa miongo kadhaa baina ya nchi hizo mbili. Hadi sasa jumla ya vikwazo vilivyoondolewa ni 42 kati ya 64, huku vikwazo 30 vikiwa vimeondolewa kwenye mkutano …
Miezi michache iliyopita waziri mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa alifanya ziara katika bandari ya Dar es salaam na kuzungumza mambo mbalimbli ikiwa ni pamoja na kuwataka TRA kufanya kazi kubwa maeneo ya bandari, Lakini pia aligusia …