Siku ya Jumatatu Tarehe 29 August, Waziri wa afya wa Tanzania Ummy Mwalimu alikutana na waaandishi wa Habari kuelezea hali ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF). Katika kile alichokizungumza, inaonekana hali ya mfuko huo hasa kiuchumi ni …
 Na Amani Mjege Mnamo tarehe 24 january 2022 Benki ya CRDB ilitangaza punguzo kubwa la riba katika mikopo kwa kundi la wakulima, pamoja na wafanyakazi. Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alisema punguzo hilo la riba linakuja kufuatia …