Have any question?
+255 736 164 141
[email protected]
RegisterLogin
DONATE
  • About Us
    • Our Story
    • What we do
    • Our People
    • Jobs & Internships
    • Annual Reports & Financials
    • FAQs
    • Contact
  • Projects
  • Training
    • Overview
    • Certifications
    • Upcoming Courses
    • Think Tank Shark Tank
    • FAQs
  • Grants + Awards
  • Forums
  • About Us
    • Our Story
    • What we do
    • Our People
    • Jobs & Internships
    • Annual Reports & Financials
    • FAQs
    • Contact
  • Projects
  • Training
    • Overview
    • Certifications
    • Upcoming Courses
    • Think Tank Shark Tank
    • FAQs
  • Grants + Awards
  • Forums
  • News+Analysis
  • Media
    • Books
    • Videos
    • Champions of Change
  • Events
  • Shop
  • Support us
  • News+Analysis
  • Media
    • Books
    • Videos
    • Champions of Change
  • Events
  • Shop
  • Support us

Analysis

Umuhimu wa bandari katika uchumi na maendeleo ya nchi.

  • Posted by Bahati Mwavipa
  • Categories Analysis, Blog, Business, Economics>Articles, Economics>Market
  • Date September 29, 2021
  • Comments 0 comment

Miezi michache iliyopita waziri mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa alifanya ziara katika bandari ya Dar es salaam na kuzungumza mambo mbalimbli ikiwa ni pamoja na kuwataka TRA kufanya kazi kubwa maeneo ya bandari, Lakini pia aligusia mfumo unaotumika unavyoharibu kazi.

Nchi zilizoendelea zinatazama bandari kama chanzo muhimu cha kipato na maendeleo ya nchi wakati bandari kubwa ulimwenguni zinapakia na kupakua hadi tani millioni 744 za shehena kwa mwaka.

Tanzania tumebarikiwa kuwa na bandari katika mwambao wa bahari ya hindi inayohudumia nchi jirani zenye bandari na zisizo na bandari kama vile Msumbiji, Burundi, Rwanda, Malawi, Congo na Zambia ambao wanatumia kupakia na kupakua mizigo kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni na kupelekea bandari ya Dar es salaam kuwa ni chanzo kikubwa na mapato na kukua uchumi wa nchi na mtu mmoja mmoja.

Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na migogoro ya hapa na pale kati ya nchi zinazotumia bandari hiyo kwa nyakati tofauti ikiwemo Zambia na DRC Congo na changamoto kubwa ikiwa ni urasimu katika usafirishaji wa mizigo inayopitia bandari ya Dar es salaam kwenda katika nchi hizo kitu ambacho hakikuleta taswira nzuri kibiashara na kiuchumi baina ya nchi hizi kwa wakati ambao nchi hizi zinapambana kujijenga kiuchumi kupitia ushirikiano wao na sio migogoro.

Bandari ya Dar es salaam kwasasa inabeba chini ya tani million 20 ni kiasi cha kawaida ukilinganisha na idadi ya nchi zinazotegemea bandari hiyo, hivyo serikali inahaja ya kuangalia na kuongeza eneo ili kuongeza kiasi cha mizigo inayoshushwa na kupakiwa hadi kufikia zaidi ya millioni 30 ambazo zitakidhi mahitaji ya nchi zote zinazotumia bandari hiyo.

Jambo mojawapo linaloonesha ufanisi wa bandari ni ubora wa huduma zinazotolewa na bandari husika ikiwa ni pamoja na meli kuhudumiwa kwa muda mfupi zaidi bila kusababisha hasara kwa wenye meli na wafanyabiashara ni muhimu kulitazama hili kwasababu ni kichocheo kikubwa cha maendeleo ya viwanda na biashara.

Uwepo wa bandari hii ni fursa kubwa sana kiuchumi na uwepo wa soko huria huleta ushindani wa kibiashara, linahitaji huduma zenye uhakika na haraka ili kukidhi ubora wa kimataifa kwa kuzingatia namna bora ya uendeshaji wa bandari, ubora wa miundombinu na matumizi ya teknolojia ya kisasa.

Nchi mbali mbali barani Afrika zinafaidika kwa maendeleo kutokana na uwepo wa bandari na kutulia mkazo katika sekta hiyo, nchi kama Afrika kusini inaweza kuwa mfano wa kuigwa kwa hatua waliopiga kiuchumi kutokana na kulitazama suala la uwepo wa bandari kama sehemu na kichocheo cha kukua kwa uchumi wa nchi kupitia sera yao ya ‘operation phakisa’ iliyozinduliwa rasmi mwaka 2014 ukiwa ni mpango wa makusudi wa kuhakikisha utekelezaji wa haraka wa mpango wa taifa wa maendeleo ifikapo mwaka 2030.

Lakini pia kwa nchi kama Mauritius ilichukua hatua za makusudi kuimarisha uchumi wao kwa kutazama uchumi wa bahari kama sehemu muhimu ya kuboresha na moja ya  nguzo ya uchumi wa nchi na kuwasaidia kufikia malengo yao ya kimkakati ya kiuchumi kukua hadi kufikia uchumi wa juu ambao walifanikiwa kuufikia huko mapema mwaka 2020, kwasasa Mauritius wanategemea mchango wa uchumi kutokana na bahari kufikia  hadi asilimia 20 ifikapo mwaka 2025.

Kama nchi ni muhimu kugeukia katika uchumi wa bluu na kutazama fursa za kimaendeleo na kutilia mkazo na kuiwekea kipaumbele kama ilivyo kwa sera ya kilimo na viwanda kwa miaka ya hivi karibuni. Rasilimali watu wenye ujuzi, na uzoefu wa kutosha, weledi, juhudi, uadilifu inaweza kuleta mabadiriko makubwa ya kimaendeleo na uendeshaji wa bandari.

Malengo ya maendeleo endelevu kwa  jamii na nchi inapaswa kuwekeza katika elimu zaidi ili kupata rasilimali watu, uchumi wa blue ni fursa na chachu ya maendeleo kwasababu unatengeneza ajira zenye staha, ukuaji wa viwanda na uwekezaji, biashara za kimataifa na fursa zingine mbalimbali.

Serikali inatakiwa kuangalia sheria katika eneo hili haipaswi kuweka sheria kandamizi kwa watumiaji wa bandari ya Dar es salaam zikiwepo nchi jirani kama Congo na Zambia ambazo zinategemea zaidi kuingiza mizigo yao kupitia bandari ya Dar es salaam kama taifa linanufaka kwa kuingiza kipato na maendeleo ya miundo mbinu inayotumiaka kusafirisha mizigo.

Lakini pia kuwe na ushirikiano mzuri kati ya sekta za uma na sekta za binafsi ili kusaidiana katika maendeleo ya nchi kama kuboresha miundombinu ya bandari ili kuwa na uwezo wa kubeba zaidi ya tani millioni 30 za mzigo ili kukidhi mahitaji na matumizi ya bandari hiyo kwa nchi za Afrika mashariki na kati.

  • Share:
Bahati Mwavipa

Previous post

Maize farmers can benefit from their sweat.
September 29, 2021

Next post

Idea Club for Emerging Leaders, recap for Saturday discussion.
September 29, 2021

You may also like

IEA-I-IATP_Nkafu-Pape_V2-2.pdf-Google-Chrome-07_11_2024-16_17_41
Free Trade in the Precolonial Era: Implications for the Implementation of the AfCFTA in Cameroon
December 1, 2024
IEA-I-IATP_Free-Trade-Future-Paper_V3.pdf-Google-Chrome-04_11_2024-12_50_06-1 (1)
Africa’s Free Trading Future: A Comprehensive look at the AfCFTA
December 1, 2024
pexels-sora-shimazaki-5669619
Workers’ Welfare: Failure of Courts or Trade Unions?
October 16, 2024

Leave A Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search

MOST POPULAR

February 25, 2021
What Kombe’s saying about Business Regulations.
Read More
August 20, 2024
Impact of Cross-Border Conflicts on Trade in the East African Community
Read More
September 29, 2021
Idea Club for Emerging Leaders, recap for Saturday discussion.
Read More
September 12, 2022
Kwanini Tulalamike? NHIF inaweza Kuendelea Kuwepo?
Read More

RESEARCH & REPORT

Land Rights to Women in Tanzania Report

Land Rights to Women in Tanzania Report

In many parts of Sub-Saharan Africa, women, despite being...

Improved Economic Freedom Report 2022.

Improved Economic Freedom Report 2022.

Introduction Fraser Institute report (2021), the index published in...

Trading Across Borders: Implications & Policy Recommendations in Tanzania 2022 report

Trading Across Borders: Implications & Policy Recommendations in Tanzania 2022 report

Tanzania achieved a lower-middle-income economy status in July 2020,...

Tanzania Tax Reform Proposal 2021-2022

Tanzania Tax Reform Proposal 2021-2022

The Government of Tanzania released a public notice to...

Starting Busines Report in Tanzania 2021-2022

Starting Busines Report in Tanzania 2021-2022

Doing Business measures aspects of business regulation affecting small...

Global Alcohol Strategic Report

Global Alcohol Strategic Report

This paper in response to combatting paternalistic lifestyle regulations...

FEATURED ANALYSIS

Infrastructure Diplomacy in East Africa: The New Face of Regional Power and Influence

Infrastructure Diplomacy in East Africa: The New Face of Regional Power and Influence

Why It Matters Kenya’s renewed plan to extend its...

If It Actually Works, Africa’s New Trade Route Could Be a Lifeline for Trade

If It Actually Works, Africa’s New Trade Route Could Be a Lifeline for Trade

By Muoki Musila   Hope in the Skies, but...

Will Africa’s PAPSS Survive the Coming Digital Currency Wars?

Will Africa’s PAPSS Survive the Coming Digital Currency Wars?

Keeping Pace with China’s Digital Blitzkrieg The global financial...

Kenya at the Crossroads of China, the U.S., and Africa amidst Global Tarde Realignments

Kenya at the Crossroads of China, the U.S., and Africa amidst Global Tarde Realignments

Charm Offensive in China Kenya’s President Ruto was busy...

East Africa Must Embrace Free Market Reforms Now

East Africa Must Embrace Free Market Reforms Now

  Growth towards Economic Freedom As East Africa aspires...

The Single African Market Won’t Work Without these Localized Moyale Moments.

The Single African Market Won’t Work Without these Localized Moyale Moments.

      By Musila Muoki Streamlining Border Trade...

East Africa’s Brightest Sectors Are Being Left Out of Credential Recognition Frameworks

East Africa’s Brightest Sectors Are Being Left Out of Credential Recognition Frameworks

    By Musila Muoki Mutual Recognition of Expertise...

Cross Border Agricultural Trade in Tanzania 2025 Report

Cross Border Agricultural Trade in Tanzania 2025 Report

Introduction Liberty Sparks is a research-oriented think tank committed...

JOIN OUR NEWSLETTER

Stay connected with what our team is accomplishing; subscribe today and get the full report and updates, straight to your inbox, every month.
You may also receive information and direct marketing from us, but you may update your preferences at any time.

Liberty Sparks

  • Kunduchi, Mtongania
    Jiwe gumu Road
  • Dar es Salaam, Tanzania
  • T +255 736 164 141
Facebook Twitter Youtube Instagram Linkedin Google-plus-g

A Freer, Flourishing Society

About

  • Our Story
  • Our People
  • What we do
  • Jobs & Internships
  • Annual Reports & Financials
  • FAQs
  • Contact
  • Our Story
  • Our People
  • What we do
  • Jobs & Internships
  • Annual Reports & Financials
  • FAQs
  • Contact

Awards

  • Grants
  • Awards
  • FAQs
  • Grants
  • Awards
  • FAQs

Events

Training

  • Overview
  • Certifications
  • Upcoming Courses
  • Think Tank Shark Tank
  • FAQs
  • Overview
  • Certifications
  • Upcoming Courses
  • Think Tank Shark Tank
  • FAQs

COPYRIGHT © 2023 LIBERTY SPARKS

Login with your site account

Lost your password?

Not a member yet? Register now

Register a new account

Are you a member? Login now