Misukosuko na Janga la Njaa DUNIA inatarajiwa kukumbwa na janga la njaa kwa mwaka 2023 huku ikitajwa kuwa ni janga mbaya zaidi la njaa kuwahi kutokea duniani kwa mujibu wa takwimu za Shirika la Chakula Duniani ( WFP ). Mapigano, …
Sector Yenye Matumaini Sekta ya Uvuvi ni miongoni mwa sekta muhimu za uchumi nchini inayochangia katika Pato la Taifa na kuondoa umaskini. Sekta hii inajumuisha shughuli zote za uvuvi wa asili na ukuzaji wa viumbe maji kwa kutumia mbinu mbalimbali …
Oktoba 7 mwaka 2021 jijini Dar es saalam, Bank ya NMB ilizindua mpango wake wa kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa wateja wake wa sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi. Ambapo kiasi cha pesa za Kitanzania bilioni 100 zimetengwa kwa …
Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuondoa  vikwazo 12 vya biashara visivyo vya kikodi vilivyokuwa vinatumika kwa miongo kadhaa baina ya nchi hizo mbili. Hadi sasa jumla ya vikwazo vilivyoondolewa ni 42 kati ya 64, huku vikwazo 30 vikiwa vimeondolewa kwenye mkutano …
Uchumi wa Buluu unajumuisha shughuli zote za uendelezaji na ukuzaji wa uchumi kwa kupitia matumizi bora ya Rasilimali zote muhimu za Bahari. Mfano; Uvuvi wa aina mbalimbali ukiwemo wa kibiashara na usio wa kibiashra katika kina kirefu na kifupi,Shuguli za …
The Prime Minister of Tanzania, Kassim Majaliwa has said President SamiaSuluhu Hassan has given Tsh. 50 billion, which will be used to buy maize from farmers to save them from falling prices. Maize crop grown as a food crop in …
Kulingana na takwimu za sasa; Idadi ya Watanzania ni zaidi ya milioni 55, huku zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania hawa ni Wakulima, ambao wengi wao wanaishi maeneo ya Vijijini na hufanya shughuli ya kilimo kwa ajili ya kujikimu huku …