WAZIRI wa. Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Dkt. Ashatu Kijaji, amekishauri Kiwanda cha Kioo Limited kuendelea kuzalisha bidhaa zenye ubora kwa ajili ya Soko Huru la Biashara Barani Afrika (AfCFTA). Aidha, alikishauri kiwanda hicho kuzalisha bidhaa za kioo zitakazotumika kama vifungashio …
SERIKALI imetangaza kuanzia Julai Mosi mwaka huu itaan- za kupeleka bidhaa 10 katika Soko Huru la Biashara Afrika amba- lo Tanzania ni mwa wanachama. Akizungumza jana wakati wa ki- kao na Shirikisho la Wenye Viwanda Nchini (CTI) jijini Dar es …
MACHI 21,2018 bara la Afrika liliandika historia mpya kufuatia viongozi 44 wa nchi za Afrika waliohudhuria Kikao Kisicho cha kawaida cha viongozi wa Afrika (Extraordinary Summit) kusaini mkataba utakaoruhusu kufanyika kwa biashara huru barani humu (Intra-African Free Trade). Kusainiwa huku …