Oktoba 7 mwaka 2021 jijini Dar es saalam, Bank ya NMB ilizindua mpango wake wa kutoa mikopo yenye riba nafuu kwa wateja wake wa sekta ya kilimo, ufugaji na uvuvi. Ambapo kiasi cha pesa za Kitanzania bilioni 100 zimetengwa kwa …
4th discussion; IDEAS CLUB, Last Saturday, with great enthusiasm, Ideas members, continued to review Dr. Eammon Butler’s Introduction to Entrepreneurship book on the SPREAD OF ENTREPRENEURSHIP and PRODUCTIVE AND UNPRODUCTIVE ENTREPRENEURSHIP. The issues that sparked the most significant debate were …
Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuondoa  vikwazo 12 vya biashara visivyo vya kikodi vilivyokuwa vinatumika kwa miongo kadhaa baina ya nchi hizo mbili. Hadi sasa jumla ya vikwazo vilivyoondolewa ni 42 kati ya 64, huku vikwazo 30 vikiwa vimeondolewa kwenye mkutano …
Uchumi wa Buluu unajumuisha shughuli zote za uendelezaji na ukuzaji wa uchumi kwa kupitia matumizi bora ya Rasilimali zote muhimu za Bahari. Mfano; Uvuvi wa aina mbalimbali ukiwemo wa kibiashara na usio wa kibiashra katika kina kirefu na kifupi,Shuguli za …
3rd Meeting Our IDEA club had a great weekend again to review AN INTRODUCTION TO ENTREPRENEURSHIP book by Dr. Eammon Butler this Saturday. This is the third discussion since its inception in September 2021, and the team was learning more …
This week has been a success again for our organization through its Idea for emerging leaders club at Liberty Sparks offices (mini-library). The club brings together students and young professional leaders every Saturday for two hours to read and …
Miezi michache iliyopita waziri mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa alifanya ziara katika bandari ya Dar es salaam na kuzungumza mambo mbalimbli ikiwa ni pamoja na kuwataka TRA kufanya kazi kubwa maeneo ya bandari, Lakini pia aligusia …
The Prime Minister of Tanzania, Kassim Majaliwa has said President SamiaSuluhu Hassan has given Tsh. 50 billion, which will be used to buy maize from farmers to save them from falling prices. Maize crop grown as a food crop in …
Kulingana na takwimu za sasa; Idadi ya Watanzania ni zaidi ya milioni 55, huku zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania hawa ni Wakulima, ambao wengi wao wanaishi maeneo ya Vijijini na hufanya shughuli ya kilimo kwa ajili ya kujikimu huku …
WAANDISHI wa habari na vijana wanaofanya tafiti katika masuala ya uchumi, elimu, biashara na Masoko wametakiwa kujikita katika kuandika makala mbalimbali zitakazolenga kuleta mapinduzi katika sekta hizo. Wito huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika …