This week has been a success again for our organization through its Idea for emerging leaders club at Liberty Sparks offices (mini-library). The club brings together students and young professional leaders every Saturday for two hours to read and …
Miezi michache iliyopita waziri mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa alifanya ziara katika bandari ya Dar es salaam na kuzungumza mambo mbalimbli ikiwa ni pamoja na kuwataka TRA kufanya kazi kubwa maeneo ya bandari, Lakini pia aligusia …
The Prime Minister of Tanzania, Kassim Majaliwa has said President SamiaSuluhu Hassan has given Tsh. 50 billion, which will be used to buy maize from farmers to save them from falling prices. Maize crop grown as a food crop in …
Kulingana na takwimu za sasa; Idadi ya Watanzania ni zaidi ya milioni 55, huku zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania hawa ni Wakulima, ambao wengi wao wanaishi maeneo ya Vijijini na hufanya shughuli ya kilimo kwa ajili ya kujikimu huku …
WAANDISHI wa habari na vijana wanaofanya tafiti katika masuala ya uchumi, elimu, biashara na Masoko wametakiwa kujikita katika kuandika makala mbalimbali zitakazolenga kuleta mapinduzi katika sekta hizo. Wito huo umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika …
TARATIBU zisizoeleweka zinazotolewa na baadhi ya maofisa wa serikali ni miongoni mwa kikwazo kilichotajwa ambacho kinakwamisha watu kuanzisha biashara. Hayo yamebainisha jijini Dar es Salaam juzi na Mtafiti mwandamizi Profesa Samuel Wangwe wakati akitoa ripoti ya utafiti aliyoufanya kuhusiana na …
Dar es Salaam. Bodi ya Wakurugenzi ya kampuni ya simu ya Vodacom imesema hakutakuwa na gawio kwa wanahisa katika kipindi cha mwaka wa fedha ulioishia Machi, 2021. Sababu za kutotolewa kwa gawio hilo ni hasara ya Sh30 bilioni iliyopatikana katika …
Arusha. Businesses here have been urged to pay taxes voluntarily as required by law. They need not worry about harassment by Tanzania Revenue Authority (TRA) officials, as was the case in the past. “The era of harassments is over,” said Walter …
Dar es Salaam. The government may make a u-turn on its newly-introduced mobile money levy after the public unanimously rebuffed the move on the ground that it was defeating Tanzania’s financial inclusivity goal. Finance and Planning minister Dr Mwigulu Nchemba said …
Dar es Salaam. Four days after the Electronic and Postal Communication Act (CAP 306) came into effect, the Tanzania Mobile Network Operators Association (Tamnoa) has said the business has dropped drastically, therefore asking government to amend the new charges. In …
