Miezi michache iliyopita waziri mkuu wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa alifanya ziara katika bandari ya Dar es salaam na kuzungumza mambo mbalimbli ikiwa ni pamoja na kuwataka TRA kufanya kazi kubwa maeneo ya bandari, Lakini pia aligusia …
The Prime Minister of Tanzania, Kassim Majaliwa has said President SamiaSuluhu Hassan has given Tsh. 50 billion, which will be used to buy maize from farmers to save them from falling prices. Maize crop grown as a food crop in …
Kulingana na takwimu za sasa; Idadi ya Watanzania ni zaidi ya milioni 55, huku zaidi ya asilimia 70 ya Watanzania hawa ni Wakulima, ambao wengi wao wanaishi maeneo ya Vijijini na hufanya shughuli ya kilimo kwa ajili ya kujikimu huku …
Na Paschal Peter Ikiwa ni takribani miaka miwili tangu dunia ikumbwe na janga hatari la Ugonjwa hatari wa Corona,chumi za nchi nyingi duniani zimeyumba kwa kiasi kikubwa kutokana na gonjwa hilo kuzuia shughuli nyingi ambazo zinasaidia nchi hizo kujiingizia kipato,Nchi …
Business Registration Registration of businesses is one key foundation of economic development and prosperity. A registered businesses entity can enter into binding contracts and can be sued in its right. Such a business becomes identifiable. Moreover, it can also be …
Imeandikwa na Na Peter Mbanga Mei Mosi, siku ya wafanyakazi duniani ambayo mwezi uliopita ilisheherekewa kinyonge zaidi kuliko kipindi chochote kwa miaka ya hivi karibuni. Hii ni kutokana na gonjwa la COVID-19 lililoziweka kwenye maumivu sekta za ajira, biashara na uchumi …