Maendeleo ya Watanzania yamerudi nyuma-Ripoti UNDP
[et_pb_section fb_built=”1″ _builder_version=”3.21″][et_pb_row _builder_version=”3.21″][et_pb_column type=”3_5″ _builder_version=”3.21″][et_pb_text admin_label=”By Kelvin Matandiko, Mwananchi [email protected]” _builder_version=”3.21″ header_font=”||||||||”]
Ripoti hiyo ya Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP) iliyozinduliwa Desemba 18, mwaka jana ikiwa na jina la “Mtizamo wa Zaidi ya Pato, Zaidi ya Wastani, Zaidi ya Mahitaji ya Leo: Tofauti za Kijamii na Kiuchuni Katika Karne ya 21”, inahusisha nchi zote wanachama wa Umoja wa Mataifa (UN). “Maendeleo yamerudi nyuma kutokana na ukuaji wa uchumi kutokuwa jumuishi katika sekta zinazohusisha maisha ya Watanzania wengi,” alisema Dk Abel Kinyondo wa Idara ya Uchumi, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM). “Katika miongo miwili iliyopita, uchumi umekuwa ukikua kwa wastani wa asilimia 7, lakini unahusisha sekta zisizokuwa na ajira ya Watanzania wengi. Ndio maana unasikia wanalalamika uchumi unakuwaje wakati hakuna pesa. Matokeo yake tabaka la maskini na tajiri linaongezeka.
[/et_pb_text][/et_pb_column][et_pb_column type=”2_5″ _builder_version=”3.21″][et_pb_text _builder_version=”3.21″]
Other related News
[/et_pb_text][et_pb_divider _builder_version=”3.21″][/et_pb_divider][et_pb_blog posts_number=”5″ show_thumbnail=”off” show_more=”on” show_author=”off” show_date=”off” show_categories=”off” fullwidth=”off” _builder_version=”3.21″ include_categories=”25″ header_font=”||on||||||” header_text_align=”center” pagination_font=”||||||||” pagination_font_size=”22px” custom_margin=”-52px||-58px”][/et_pb_blog][/et_pb_column][/et_pb_row][/et_pb_section]
Statement: A Peaceful, Freer and Prosperous Africa can Defeat Coups- African Think Tanks