Kahawa: Bidhaa ya kwanza kuipeleka AfCFTA. Tunaenda Kumuuzia Nani?
“Tayari tuna bidhaa ya kwanza tutakayoiuza nje, na bidhaa hiyo ni kahawa…hatotuoiuza ghafi bali tutauza kama bidhaa iliokamilika”. Alinukuliwa Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mh. Dk Ashatu Kijaji akiwaeleza wajumbe wa Shirikisho la wenye Viwanda Tanzania (CTI) juu ya
