Imeandikwa na Na Peter Mbanga Mei Mosi, siku ya wafanyakazi duniani  ambayo mwezi uliopita ilisheherekewa kinyonge zaidi kuliko kipindi chochote kwa miaka ya hivi karibuni. Hii ni kutokana na gonjwa la COVID-19 lililoziweka kwenye maumivu sekta za ajira, biashara na uchumi …