Have any question?
+255 736 164 141
info@libertysparks.org
RegisterLogin
DONATE
  • About Us
    • Our Story
    • What we do
    • People
    • Jobs & Internships
    • Annual Reports & Financials
    • FAQs
    • Contact
  • Partners
  • Training
    • Overview
    • Certifications
    • Upcoming Courses
    • Think Tank Shark Tank
    • FAQs
  • Grants + Awards
Menu
  • About Us
    • Our Story
    • What we do
    • People
    • Jobs & Internships
    • Annual Reports & Financials
    • FAQs
    • Contact
  • Partners
  • Training
    • Overview
    • Certifications
    • Upcoming Courses
    • Think Tank Shark Tank
    • FAQs
  • Grants + Awards
  • News+Analysis
  • Media
    • Books
    • Videos
    • Champions of Change
  • Events
  • Support us
Menu
  • News+Analysis
  • Media
    • Books
    • Videos
    • Champions of Change
  • Events
  • Support us

Biashara na Utandawazi

Biashara na Utandawazi

  • Posted by Admin
  • Date April 2, 2022
  • Comments 0 comment

Icon

Biashara na Utandawazi

1 file(s) 903.75 KB
Download
Eamonn Butler ni Mkurugenzi wa Taasisi ya Adam Smith, mojawapo kati ya taasisi andamizi za washauri mabingwa wa sera duniani. Ni msomi mwenye shahada katika fani za uchumi na saikolojia, shahada ya uzamivu katika falsafa na shahada ya uzamivu ya heshima ya DLitt. Katikati ya miaka ya 1970
alifanya kazi mjini Washington katika Baraza la Wawakilishi la Marekani, na alifundisha falsafa katika Chuo cha Hillsdale, Michigan, kabla ya kurejea Uingereza ambapo alisaidia kuasisi Taasisi ya Adam Smith. Akiwa ni mshindi wa zamani wa Medali ya Uhuru inayotolewa na Freedom’s Foundation of
Valley Forge na Tuzo ya National Free Enterprise ya Uingereza; filamu yake ya Siri za Magna Carta ilishinda tuzo katika Tamasha la Filamu la Anthem, na kitabu chake cha Taasisi za Jamii Huria kilishinda Tuzo ya Vitabu ya Fisher.

 

Eamonn ni mwandishi wa machapisho juu ya wachumi na wanazuoni ambao ni watangulizi wake: Adam Smith, Milton Friedman, F. A. Hayek na Ludwig von Mises. Pia ni miongoni mwa waandishi wa awali kutoa machapisho juu ya mwelekeo wa kisasa wa mabadiliko, uchaguzi wa umma, ubepari, demokrasia,
Fikra za Kichumi za Wanazuoni wa Kiaustria na wanazuoni mashuhuri wenye mwelekeo unaopendelea mabadiliko, pamoja na Mlimbikizo wa Utajiri wa Mataifa na Kitabu Bora Kabisa Kuhusu Soko. Vilevile ni mwandishi mshiriki wa Karne Arobaini za Udhibiti wa Ujira na Bei, na mfululizo wa vitabu juu ya akili na upimaji wa kiwango cha akili. Ni mchangiaji wa mara kwa mara katika uchapishaji, utangazaji na majukwaa ya mtandaoni

  • Share:
author avatar
Admin

Previous post

Safari za Jonathan Gullible
April 2, 2022

You may also like

OTMI8038
PUNGUZO LA RIBA MIKOPO KWENYE KILIMO IWE NJIA ISIYOISHIA NJIANI
2 February, 2022
Yellow and Black Quotes Facebook Post (1)
Lifted ban on pregnant girls in Tanzania.
26 November, 2021
Yellow and Black Quotes Facebook Post
The sooner African people can realize that economic emancipation has come through AfCFTA, the better.
23 November, 2021

Leave A Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

MOST POPULAR

depositphotos_41972755-stock-photo-capitalism-3d-sphere-word-cloud-1024×675
April 3, 2019
Freedom & Prosperity: The two cornerstones which keeps capitalism essential even today
Read More

RESEARCH & REPORT

Starting Busines Report in Tanzania 2021-2022

Starting Busines Report in Tanzania 2021-2022

Doing Business measures aspects of business regulation affecting small...

FEATURED ANALYSIS

PUNGUZO LA RIBA MIKOPO KWENYE KILIMO IWE NJIA ISIYOISHIA NJIANI

PUNGUZO LA RIBA MIKOPO KWENYE KILIMO IWE NJIA ISIYOISHIA NJIANI

 Na Amani Mjege Mnamo tarehe 24 january 2022 Benki...

Lifted ban on pregnant girls in Tanzania.

Lifted ban on pregnant girls in Tanzania.

It has never been more evident than it is...

The sooner African people can realize that economic emancipation has come through AfCFTA, the better.

The sooner African people can realize that economic emancipation has come through AfCFTA, the better.

Kenya and Tanzania are restoring the once-decayed faith in...

CHUNGU TAMU: BILIONI 100 ZILIZOTENGWA NA NMB KUWAKOPESHA WAKULIMA, WAVUVI NA WAFUGAJI

CHUNGU TAMU: BILIONI 100 ZILIZOTENGWA NA NMB KUWAKOPESHA WAKULIMA, WAVUVI NA WAFUGAJI

Oktoba 7 mwaka 2021 jijini Dar es saalam, Bank...

People should be educated not to fear competition.

People should be educated not to fear competition.

4th discussion; IDEAS CLUB, Last Saturday, with great enthusiasm,...

VIKWAZO VYA KIBIASHARA KUONDOLEWA: WADAU SEKTA YA UCHUMI KENYA NA TANZANIA WATUMIE VYEMA  FURSA HII

VIKWAZO VYA KIBIASHARA KUONDOLEWA: WADAU SEKTA YA UCHUMI KENYA NA TANZANIA WATUMIE VYEMA FURSA HII

Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuondoa  vikwazo 12 vya biashara...

Kuelekea Uchumi wa Buluu: SHERIA NA KANUNI ZA UVUVI LAZIMA ZIANGALIWE UPYA

Kuelekea Uchumi wa Buluu: SHERIA NA KANUNI ZA UVUVI LAZIMA ZIANGALIWE UPYA

Uchumi wa Buluu unajumuisha shughuli zote za uendelezaji na...

Recognizing the contribution of entrepreneurship to the economy.

Recognizing the contribution of entrepreneurship to the economy.

3rd Meeting Our IDEA club had a great weekend...

JOIN OUR NEWSLETTER

Stay connected with what our team is accomplishing; subscribe today and get the full report and updates, straight to your inbox, every month.
You may also receive information and direct marketing from us, but you may update your preferences at any time.

Liberty Sparks

  • Sinza Kijiweni
  • Dar es Salaam, Tanzania
  • T +255763855554
Facebook Twitter Youtube Instagram Linkedin Google-plus-g

A Freer, Flourishing Society

About

  • Our Story
  • People
  • What we do
  • Jobs & Internships
  • Annual Reports & Financials
  • FAQs
  • Contact
Menu
  • Our Story
  • People
  • What we do
  • Jobs & Internships
  • Annual Reports & Financials
  • FAQs
  • Contact

Grants+Awards

  • Grants
  • Awards
  • FAQs
Menu
  • Grants
  • Awards
  • FAQs

Events

Training

  • Overview
  • Certifications
  • Upcoming Courses
  • Think Tank Shark Tank
  • FAQs
Menu
  • Overview
  • Certifications
  • Upcoming Courses
  • Think Tank Shark Tank
  • FAQs

COPYRIGHT © 2021 LIBERTY SPARKS

Login with your site account

Lost your password?

Not a member yet? Register now

Register a new account

Are you a member? Login now

[ Placeholder content for popup link ] WordPress Download Manager - Best Download Management Plugin