Na Paschal Peter Ikiwa ni takribani miaka miwili tangu dunia ikumbwe na janga hatari la Ugonjwa hatari wa Corona,chumi za nchi nyingi duniani zimeyumba kwa kiasi kikubwa kutokana na gonjwa hilo kuzuia shughuli nyingi ambazo zinasaidia nchi hizo kujiingizia kipato,Nchi …