Taraji Cococonut Oil

TZS35,000.00

Pellentesque habitant morbi tristique senectus et netus et malesuada fames ac turpis egestas. Vestibulum tortor quam, feugiat vitae, ultricies eget, tempor sit amet, ante. Donec eu libero sit amet quam egestas semper. Aenean ultricies mi vitae est. Mauris placerat eleifend leo.

20 in stock

-
+
Category: Tags: ,

Cold-pressed Oil, No Heat No Chemicals Added. Studies show that coconut oil may raise the levels of the “good” HDL cholesterol, relative to total cholesterol, potentially decreasing the risk of heart disease.

FAIDA ZA MAFUTA MWALI YA NAZI
1. Mafuta bora kwa ngozi na ulinzi dhidi ya miale ya jua.
2. Yanakuza na kupendezesha nywele hasa nywele kavu
3. Huzuia meno kuoza na magonjwa kwenye fizi
4. Hutibu maambukizi ya fungus
5. Hupunguza uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo
6. Hutibu vipele vitokanavyo na diaper kwa watoto
7. Hutumika kulainisha sehemu mkavu
8. Mafuta mazuri sana kwenye massage
9. Mafuta mazuri mbadala ya kupikia
10. Hutumika katika kusugua mwili (Scrub).
11. Yanasaidia kupona kwa vidonfa na kupotea kwa makovu haraka
12. Yanatumika kupaka baada ya kunyoa kwa ajili ya kuzuia vipela..
13. Yanasaidia kucha kukua.
14.Yanasaidia kuondoa weusi makwapani, mapajani na shingoni

Additional information

Available

500mls(½litre) – 18,000
1Ltr – 35,000
5litre – 140,000 (Negotiate)

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Taraji Cococonut Oil”

Your email address will not be published. Required fields are marked *