Have any question?
+255 736 164 141
[email protected]
RegisterLogin
DONATE
  • About Us
    • Our Story
    • What we do
    • Our People
    • Jobs & Internships
    • Annual Reports & Financials
    • FAQs
    • Contact
  • Projects
  • Training
    • Overview
    • Certifications
    • Upcoming Courses
    • Think Tank Shark Tank
    • FAQs
  • Grants + Awards
  • Forums
  • About Us
    • Our Story
    • What we do
    • Our People
    • Jobs & Internships
    • Annual Reports & Financials
    • FAQs
    • Contact
  • Projects
  • Training
    • Overview
    • Certifications
    • Upcoming Courses
    • Think Tank Shark Tank
    • FAQs
  • Grants + Awards
  • Forums
  • News+Analysis
  • Media
    • Books
    • Videos
    • Champions of Change
  • Events
  • Shop
  • Support us
  • News+Analysis
  • Media
    • Books
    • Videos
    • Champions of Change
  • Events
  • Shop
  • Support us

Bidhaa feki mipakani pasua kichwa, za sola nazo zaanza kuzagaa

Home › Forums › International Trade Updates › Bidhaa feki mipakani pasua kichwa, za sola nazo zaanza kuzagaa

  • This topic is empty.
Viewing 4 posts - 1 through 4 (of 4 total)
  • Author
    Posts
  • August 6, 2024 at 10:19 am #17329 Reply
    Anastazia Nturu

      Mbeya. Wakati matumizi ya sola yakionekana kuanza kushika kasi kwa wakulima, Serikali kupitia Wizara ya Kilimo imevielekeza vyombo vya usalama mipakani kuhakikisha inadhibiti uingizwaji holela wa bidhaa hizo zisizo na ubora.

      Pia, imezitaka kampuni zinazohusika na uuzaji wa sola na pampu za umwagiliaji kufanya biashara hiyo kwa kuzingatia kipato cha mkulima na mwananchi mwingine, ili kuleta matokeo chanya kama Serikali ilivyolenga.

      Akizungumza na Mwananchi leo Jumapili, Agosti 4, 2024 katika maonyesho ya wakulima Nanenane jijini hapa, Ofisa Mwandamizi kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (Tari) Uyole, Agustino Ndelwa amesema kutokana na kuanza kushamiri kwa matumizi ya tenolojia hiyo, lazima vyombo vya usalama vifaye kazi

      August 6, 2024 at 10:22 am #17330 Reply
      evans Exaud

        Serikali inapaswa kuangalia namna bora ya kuboresha mifumo rafiki ya urasimishaji itakayosaidia watu kuachana na biashara za magaendo, au kupita njia za panya

        August 15, 2024 at 2:35 pm #17412 Reply
        Anastazia Nturu

          Habari watu wangu wa nguvu kama tulivyosema tupo live hapa kwa majadiliano karibuni sana kwa upande wangu hatua zianze mipakani katika udhibiti wa bidhaa hizi na pia uwepo wa bidhaa nzuri zinazotengenezwa ndani ya nchi zitasaidia pia kupunguza watu kutafuta bidhaa feki kwa sababu ya kuamini ni rahisi au mnasemaje wadau

          August 15, 2024 at 3:32 pm #17413 Reply
          Mansoury Nawab

            Bidhaa Fake!

            Alooo kwanza bidhaa fake ni nini? Anyways, let me go straight kwenye majibu ya swali!

            Nchi nyingi zinazoendelea like ours, bidhaa fake zinaweza kudhibitiwa kwa namna mbalimbali like,

            1. Wananchi wapewe elimu ya negative impacts za bidhaa fake! Bidhaa kama za chakula, vipodozi na madawa fake vinamadhara ya moja kwa moja kwa afya ya mtumiaji!

            2. ⁠Kuboresha mifumo yetu ya ukaguzi wa bidhaa! Hapa nakazia moja kwa moja kwa taasisi kama TBS (Tanzania Bureau of Standards) na ile ya Zanzibar (ZBS) na pia taasisi tanzu kama mamlaka nk. Hizi lazima ziwe na mifumo imara na wataalamu kwelikweli ili kuhakiki kila bidhaa inayokuwa imported ina viwango vilivyothibitishwa.

            3. ⁠Kuimarisha ulinzi kwenye milango ya uchumi kama bandari, airports, mipaka ya nchi nk. Huku ambako mizigo ya bidhaa kutoka nje inaweza kuingia nchini lazima kuwe na ulinzi mkali sana to make sure bidhaa zinazoingia zina viwango na zimesajiliwa.

            4. ⁠Matumizi ya technologies kama drones kufatilia mizigo inayoingizwa, simu kukagua codes za bidhaa, mitambo ya kupima bidhaa za vimiminika and hard materials like vyuma, machines etc.

            5. ⁠Kudhibiti rushwa kutoka kwa wafanyabiashara kwenda kwa wenye mamlaka kama TRA, Bandari, Airport Authorities etc.

            6. ⁠Rondom visits za viongozi wa nchi kwenye godowns, masoko, maduka, viwanda etc kukagua stocks zilizopo kama ni bidhaa sajiliwa na hazina madhara.

            7. ⁠Utoaji wa Vibali kwa wasambazi waaminifu tu na kutoa adhabu heavy kwa wanaokiuka masharti ya uingizaji bidhaa.

            8. ⁠Serikali kuboresha mazingira mazuri ya uwekezaji ndani ya nchi! Hii itasaidia taifa kuwa na uwezo mkubwa wa kutengeneza bidhaa zake yenyewe na hii automatically itasaidia kudhibiti uingizwaji bidhaa fake na itainua sana uchumi kwa kuboresha balance of trade, exportation na kuwa na reserve kubwa ya international finance ie $,€,£ etc.

            9. ⁠Wananchi kuamka na kuanza kupay close attention to anything they consume maana bila umakini, madhara yanaanza kwanza kwa mlaji wa mwisho (consumer)!

            10. ⁠Serikali iwekeze kwenye kutengeneza jamii bora ya kizalendo! Hii itasaidia kila mtu kuwa advocate wa maendeleo na kutokuwa tayari in anyways kutanguliza mbele maslahi binafsi na kuiangamiza jamii! There will be no economic embargo nor black market

            The end

          • Author
            Posts
          Viewing 4 posts - 1 through 4 (of 4 total)
          Reply To: Bidhaa feki mipakani pasua kichwa, za sola nazo zaanza kuzagaa

          You can use BBCodes to format your content.
          Your account can't use Advanced BBCodes, they will be stripped before saving.

          Your information:




          Search Forums

          Recent Replies

          • Bidhaa feki mipakani pasua kichwa, za sola nazo zaanza kuzagaa
          • Bidhaa feki mipakani pasua kichwa, za sola nazo zaanza kuzagaa
          • How can Tanzania address financing needs for development
          • Bidhaa feki mipakani pasua kichwa, za sola nazo zaanza kuzagaa

          Recent Topics

          • How can EAC enhance intra-trade, investments
          • How can Tanzania address financing needs for development
          • Company Secretary Required
          • Ajira Hizi Hapa Chukua
          • Bidhaa feki mipakani pasua kichwa, za sola nazo zaanza kuzagaa

          JOIN OUR NEWSLETTER

          Stay connected with what our team is accomplishing; subscribe today and get the full report and updates, straight to your inbox, every month.
          You may also receive information and direct marketing from us, but you may update your preferences at any time.

          Liberty Sparks

          • Kunduchi, Mtongania
            Jiwe gumu Road
          • Dar es Salaam, Tanzania
          • T +255 736 164 141
          Facebook Twitter Youtube Instagram Linkedin Google-plus-g

          A Freer, Flourishing Society

          About

          • Our Story
          • Our People
          • What we do
          • Jobs & Internships
          • Annual Reports & Financials
          • FAQs
          • Contact
          • Our Story
          • Our People
          • What we do
          • Jobs & Internships
          • Annual Reports & Financials
          • FAQs
          • Contact

          Awards

          • Grants
          • Awards
          • FAQs
          • Grants
          • Awards
          • FAQs

          Events

          Training

          • Overview
          • Certifications
          • Upcoming Courses
          • Think Tank Shark Tank
          • FAQs
          • Overview
          • Certifications
          • Upcoming Courses
          • Think Tank Shark Tank
          • FAQs

          COPYRIGHT © 2023 LIBERTY SPARKS

          Login with your site account

          Lost your password?

          Not a member yet? Register now

          Register a new account

          Are you a member? Login now

          Insert/edit link

          Enter the destination URL

          Or link to existing content

            No search term specified. Showing recent items. Search or use up and down arrow keys to select an item.