Bidhaa Fake!
Alooo kwanza bidhaa fake ni nini? Anyways, let me go straight kwenye majibu ya swali!
Nchi nyingi zinazoendelea like ours, bidhaa fake zinaweza kudhibitiwa kwa namna mbalimbali like,
1. Wananchi wapewe elimu ya negative impacts za bidhaa fake! Bidhaa kama za chakula, vipodozi na madawa fake vinamadhara ya moja kwa moja kwa afya ya mtumiaji!
2. Kuboresha mifumo yetu ya ukaguzi wa bidhaa! Hapa nakazia moja kwa moja kwa taasisi kama TBS (Tanzania Bureau of Standards) na ile ya Zanzibar (ZBS) na pia taasisi tanzu kama mamlaka nk. Hizi lazima ziwe na mifumo imara na wataalamu kwelikweli ili kuhakiki kila bidhaa inayokuwa imported ina viwango vilivyothibitishwa.
3. Kuimarisha ulinzi kwenye milango ya uchumi kama bandari, airports, mipaka ya nchi nk. Huku ambako mizigo ya bidhaa kutoka nje inaweza kuingia nchini lazima kuwe na ulinzi mkali sana to make sure bidhaa zinazoingia zina viwango na zimesajiliwa.
4. Matumizi ya technologies kama drones kufatilia mizigo inayoingizwa, simu kukagua codes za bidhaa, mitambo ya kupima bidhaa za vimiminika and hard materials like vyuma, machines etc.
5. Kudhibiti rushwa kutoka kwa wafanyabiashara kwenda kwa wenye mamlaka kama TRA, Bandari, Airport Authorities etc.
6. Rondom visits za viongozi wa nchi kwenye godowns, masoko, maduka, viwanda etc kukagua stocks zilizopo kama ni bidhaa sajiliwa na hazina madhara.
7. Utoaji wa Vibali kwa wasambazi waaminifu tu na kutoa adhabu heavy kwa wanaokiuka masharti ya uingizaji bidhaa.
8. Serikali kuboresha mazingira mazuri ya uwekezaji ndani ya nchi! Hii itasaidia taifa kuwa na uwezo mkubwa wa kutengeneza bidhaa zake yenyewe na hii automatically itasaidia kudhibiti uingizwaji bidhaa fake na itainua sana uchumi kwa kuboresha balance of trade, exportation na kuwa na reserve kubwa ya international finance ie $,€,£ etc.
9. Wananchi kuamka na kuanza kupay close attention to anything they consume maana bila umakini, madhara yanaanza kwanza kwa mlaji wa mwisho (consumer)!
10. Serikali iwekeze kwenye kutengeneza jamii bora ya kizalendo! Hii itasaidia kila mtu kuwa advocate wa maendeleo na kutokuwa tayari in anyways kutanguliza mbele maslahi binafsi na kuiangamiza jamii! There will be no economic embargo nor black market
The end