August 15, 2024 at 2:35 pm
#17412
Anastazia Nturu
Habari watu wangu wa nguvu kama tulivyosema tupo live hapa kwa majadiliano karibuni sana kwa upande wangu hatua zianze mipakani katika udhibiti wa bidhaa hizi na pia uwepo wa bidhaa nzuri zinazotengenezwa ndani ya nchi zitasaidia pia kupunguza watu kutafuta bidhaa feki kwa sababu ya kuamini ni rahisi au mnasemaje wadau