Ideas for Emerging Leaders Club: EPISODE 6
MWALIKO WA MJADALA WA LIBERTY SPARKS.
Tunawaalika kwenye mjadala kuhusu kitabu Sheria, Utungaji wa Sheria na Uhuru cha Friedrich Hayek.
MADA: Hayek anamaanisha nini anapozungumzia haki na haki ya kijamii?
Tutajadili dhana za haki na usawa, tofauti kati ya usawa mbele ya sheria na usawa wa matokeo, pamoja na namna ya kupunguza umaskini huku tukilinda uhuru wa mtu binafsi.
Tarehe: Alhamisi, 15 Oktoba 2026
Muda: Saa 10:00–11:00 jioni
Mahali: Google Meet
Wageni wetu:
Adv. Dorcas Francis
Adv. Mwanaisha Mndeme
Liberty Sparks — For a Freer & Prosperous Society.